Author: Jamhuri
Vyama vya siasa 18 vyasaini kanuni za maadili, CHADEMA yakosa mwakilishi
Vyama vya siasa 18 vyenye usajili wa kudumu vimeshiriki Katika kikao Cha kusaini kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Mwaka huu huku chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikiwa hakina uwakilishi. Kanuni hizo zinasainiwa…
Serikali na vyama vya siasa kusaini maadili ya uchaguzi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, vyama vya siasa na Serikali kesho tarehe 12 Aprili, 2025 wanatarajiwa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi yatakayotumika kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Akizungumza kwenye mahojiano…
Watendaji mradi wa SOFF wakutana kutathmini utekelezaji wa mpango kazi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Mkurugenzi Mkuu wa TMA, na Makamu Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi (IPCC) ,Ladislaus Changβ amefungua rasmi mkutano wa pili wa Tendaji ya Utekelezaji wa Mradi…
Wiki ya AZAKI 2025 kushirikisha wadau 500 Julai Arusha
NA Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Kuelekea katika wiki ya AZAKI, Mkurugenzi Mtendaji wa FCS Justice Rutenge amewahimiza wananchi kupaza sauti zao kwa kutoa maoni yatakayopelekea kupata dira bora kwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla. Rutenge amesema hayo Dar…
Ofisi ya Msajili Hazina yaendesha mafunzo kwa kamati za bunge
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Ofisi ya Msajili wa Hazina imeendesha mafunzo kwa Kamati tatu za Kudumu za Bunge kuhusu Mageuzi, Mafanikio, Mikakati na Mwelekeo wa Ofisi hiyo. Mafunzo hayo yaliyofanyika Ijumaa, Aprili 11, 2025, Jijini Dodoma yamehusisha Wabunge wa…
Hakuna maendeleo yanayowezekana bila amani na mshikamano wa kitaifa- Dk Biteko
π Asisitiza uwekezaji katika elimu inayozingatia sayansi, teknolojia na ubunifu π Awasihi Watanzania kuziishi falsafa za Mwl. Nyerere π Chuo cha Mwl. Nyerere cha adhimisha miaka 103 ya kuzaliwa kwa Mwl. Nyerere Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa…