Author: Jamhuri
January Makamba amefanya jambo la kuigwa
Mbunge wa Bumbuli mkoani Tanga, January Makamba, ametangaza kuwa amejipanga kuongeza kasi ya maendeleo ya elimu katika jimbo hilo, kazi itakayofanyika kwa kupitia Shirika la Maendeleo Bumbuli (BDC) kuanzia mwaka huu.
Programu hiyo itagharimu Sh. milioni 40 ikijumuisha vivutio kwa walimu na wanafunzi wa shule za sekondari; yote ikilenga kuongeza tija na umakini wa kujifunza na kusaidia juhudi zinazofanywa na serikali katika elimu.
Ardhi ya Tanzania inavyoporwa na matajiri matapeli
*Kambi ya Upinzani yaanika bungeni uozo wa kutisha
*Familia ya Chavda yavuna mabilioni na kutokomea
Hii ni sehemu ya hotuba ya Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Halima Mdee, aliyoitoa bungeni wiki iliyopita, akieleza namna ardhi ya Tanzania inavyohodhiwa na wafanyabiashara na matajiri matapeli…
MASHAMBA YALIYOBINAFSISHWA AMBAYO HAYAJAENDELEZWA
Mheshimiwa Spika, wakati akihitimisha bajeti ya ardhi mwaka jana, Waziri wa Ardhi aliliahidi Bunge lako Tukufu kwamba baada ya Bunge la bajeti wizara ingekwenda kufanya ukaguzi huru wa nani ametelekeza mashamba. Alisisitiza kwamba wawekezaji wote waliotelekeza mashamba “the honeymoon is over.”
‘Majaji ndiyo waliomtuma Lissu’
Hotuba kali ya Tundu Lissu ya kukosoa uteuzi wa majaji dhaifu uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete, imeelezwa kwamba ina baraka zote za baadhi ya viongozi waandamizi wa Mhimili wa Mahakama, JAMHURI limeelezwa.
HOTUBA YA WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
DIRA YA WIZARA:
Kuwa na uhakika wa milki za ardhi, nyumba bora na makazi endelevu kwa ajili ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
DHIMA:
Kuweka mazingira yanayofaa kuleta ufanisi katika utoaji wa huduma za ardhi, nyumba na makazi
Wapinzani wachekelea Pinda kugwaya
Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imeeleza kufarijika na kauli ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwamba kampuni ya Agrisol haijapewa ardhi ya Katumba na Mishamo mkoani Katavi.
Habari mpya
- Rais Samia kuwasili Singida
- Majaliwa azindua kampeni za ubunge jimboni Mchinga
- Zaidi ya wanafunzi 100 kundi la pili wakabidhiwa VISA na vitabu vya muongozo na GEL
- Waziri Mkuu akutana na Dk Kashililla
- Waziri Mkuu akutana na balozi wa Tanzania nchini Japan
- Waziri Mkuu wa Japan atangaza kujiuzulu
- Mgomo wasababisha mamilioni ya abiria kukwama London
- Trump yuko tayari kwa vikwazo vipya dhidi ya Urusi
- Bilioni 51 kutumika ujenzi wa barabara, masoko na stendi jijini Arusha
- Mnada wa PIKU waendelee kutoa bidhaa mbalimbali za kisasa kwa washindi
- Mgombea ubunge Ubungo kwa tiketi ya ACT Wazalendo aahahidi neema
- NIRC yaridhishwa na kasi ya ujenzi wa skimu ya Makwale – Kyela
- Dk Nchimbi apokea barua ya kazi wa Bukoba mjini mwenye ulemavu wa miguu
- Mawe yaliyoko njia ya mkojo yavunjwa kwa teknolojia salama
- Dk Nchimbi atumia helkopta kusaka kura Kagera
Copyright 2024