JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Burudani

Waziri Kijaji ampokea Braydon Bent, atimiza ndoto yake ya kutembelea Tanzania

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amempokea shabiki mashuhuri wa klabu ya Manchester City ya Uingereza Braydon Bent ambaye ametimiza ndoto yake ya siku nyingi ya kuitembelea Tanzania na kujionea vivutio mbalimbali ikiwemo Serengeti na Mlima Kilimanjaro….

Mwakinyo amchapa Mnigeria kwa KO

Bondia wa Kimataifa Mtanzania, Hassan Mwakinyo amefanikiwa kuibuka mshindi wa pambano lake dhidi ya mpinzani wake Mnigeria, Stanley Eribo katika raundi ya pili tu. Katika pambano hilo lililopigwa katika dimba la Warehouse Masaki, Dar es Salaam ambako zimepigwa ngumi haswa,…

Sergio Ramos aachia wimbo wake wa kwanza ‘Cibeles’

Mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Sergio Ramos, ameingia rasmi kwenye muziki kwa kuachia wimbo wake wa kwanza wa solo uitwao “Cibeles”, uliozinduliwa Agosti 31, 2025. Wimbo huu unaelezea kumbukumbu zake na upendo kwa Real Madrid, klabu aliyotumikia kwa miaka…

Wataka mbio za Great Ruaha Marathon ziwe za kimataifa

Na Mwandishi Wetu Wadau wa sekta ya utalii, mazingira na maendeleo ya jamii wameitaka Serikali na mashirika ya kimataifa kuweka msukumo maalumu kuhakikisha mbio za Great Ruaha Marathon zinapandishwa hadhi na kuwa tukio la kimataifa. Hatua hiyo imeelezwa itasaidia kuitangaza…

P Diddy aendelea kusota rumande hadi Oktoba 3

MSANII mashuhuri wa muziki wa hip-hop, Sean Diddy Combs maarufu kama P Diddy, ameendelea kusalia rumande baada ya Jaji Arun Subramanian wa Mahakama ya Shirikisho kumkatalia dhamana, licha ya kupunguziwa baadhi ya mashtaka. Combs alikutwa na hatia ya kujihusisha na…

Harmonize: Inahuzunisha sana, nimemuachia Mungu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tangu kuibuka kwa sakata la msanii Ibraah kutaka kujiondoa katika lebo ya Konde Gang, kwa mara ya kwanza Mkurugenzi na Mwanzilishi wa Lebo hiyo, Rajab Abdul ‘Harmonize’ amerekodi video fupi akieleza vitu vingi…