JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Burudani

Makoma Troupe ilivyochengua watu ukumbini (1)

Kundi la muziki wa zouk la Makoma lilikuwa na wanamuziki ambao walimudu kweli kuwachengua mashabiki waliokuwa wamefurika ukumbini walipofanya ziara nchini miaka kadhaa iliyopita. Wakati huo wengi wa mashabiki nchini walilikubali kundi hilo mwanzoni wakidhani kuwa ni kundi la muziki…

KASSIM MGANGA

Mwanamuziki asiyependa kujenga jina lake kwa kiki Kassim Mganga ni msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye amekuwa kivutio kikubwa kwa wapenzi wa muziki wa mwambao, ambapo hivi sasa anatamba katika video yake ya Somo. Wimbo huo una maneno ya…

Mdogo wa Ali Kiba amkingia kifua Diamond

Bifu kati ya wanamuziki mahiri nchini, Diamond Platnumz na Ali Kiba ni jambo linaloeleweka wazi. Kuelekea mwishoni mwa mwaka jana wawili hao walizidisha msigano wao baada ya Diamond kumwalika Kiba kushiriki kwenye tamasha la Wasafi – Wasafi Festival. Lakini Kiba…

Wakenya wamganda Nandy

Tetesi zimesambaa huko Kenya kuwa nyota wa muziki nchini hapa, Nandy, ni Mkenya. Tetesi hizo zinaeleza kuwa Nandy alizaliwa na kukulia Mombasa nchini Kenya, ingawa hazielezi wazazi wake ni kina nani. Tetesi hizo zinadai pia kuwa hadi hivi sasa mrembo…

HARMONIZE

Kutoka kuuza kahawa Kariakoo hadi chapuo la kuwa mbunge (3)   TABORA NA MOSHY KIYUNGI Wiki iliyopita tuliona jinsi Harmonize alivyoweza kutunga nyimbo na kuzifanya akiwa peke yake, lakini pia alikuwa mkali wa kushirikisha wengine kwenye nyimbo zake kama ambavyo…

HARMONIZE

Kutoka kuuza kahawa Kariakoo hadi chapuo la kuwa mbunge (2) TABORA, NA MOSHY KIYUNGI   Wiki iliyopita tuliona jinsi mwanamuziki Harmonize alivyoanza kushirikiana na wanamuziki wengine wakubwa kama Fally Ipupa katika kazi zake. Hilo lilianza kumpa umaarufu ambao aliendelea nao….