Category: Burudani
Mdogo wa Ali Kiba amkingia kifua Diamond
Bifu kati ya wanamuziki mahiri nchini, Diamond Platnumz na Ali Kiba ni jambo linaloeleweka wazi. Kuelekea mwishoni mwa mwaka jana wawili hao walizidisha msigano wao baada ya Diamond kumwalika Kiba kushiriki kwenye tamasha la Wasafi – Wasafi Festival. Lakini Kiba…
Wakenya wamganda Nandy
Tetesi zimesambaa huko Kenya kuwa nyota wa muziki nchini hapa, Nandy, ni Mkenya. Tetesi hizo zinaeleza kuwa Nandy alizaliwa na kukulia Mombasa nchini Kenya, ingawa hazielezi wazazi wake ni kina nani. Tetesi hizo zinadai pia kuwa hadi hivi sasa mrembo…
Kutoka kuuza kahawa Kariakoo hadi chapuo la kuwa mbunge (1)
Wapo ambao walimsifia na wengine wakamponda wakati alipoamua kuhama kutoka kwenye lebo ya Wasafi na kuamua kusimama kivyake kama msanii anayejitegemea. Lakini hiki alichokifanya msanii Harmonize ni moja ya mambo ambayo yanaonyesha kukua kwa msanii ingawa asipocheza vema gemu inaweza…
SAFARI YA DIAMOND PLUTNUMZ
Bila mama yake angekuwa wapi? (2) Baada ya kuhitimu elimu yake ya sekondari mwaka 2006, mwaka uliofuata – 2007, Diamond akajikita rasmi katika shughuli za muziki ili kujaribu kutimiza ndoto zake. Hata hivyo, hakupata mserereko kama ambavyo alitarajia, kwani alipitia…




