Chaka Chaka Mwanamuziki shupavu
Yvonne Chaka Chaka, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mjasiriamali, mtetezi wa haki za wanyonge na mwalimu wa wengi nchini Afrika Kusini, jina lake limeorodheshwa kwenye orodha ya wanawake 100 wenye ushawishi mkubwa Afrika. Jarida la Avance Media la Marekani ambalo hujishughulisha kutafiti na kuchapisha majina ya watu maarufu wenye ushawishi kila mwaka limeweka jina lake katika…