JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Burudani

Miaka mitatu baada ya kifo cha Papa Wemba

Miaka mitatu imetimia tangu mwanamuziki nguli, Papa Wemba, kufariki dunia. Ilikuwa mithili ya simulizi za ‘Alinacha’ asubuhi ya Jumapili Aprili 24, mwaka 2016, kuzagaa kwa taarifa za kifo cha mtunzi na mwimbaji mkongwe, Papa Wemba, kwamba amefariki dunia. Taarifa hizo zilieleza…

Umri mdogo sifa kibao

Sifa kubwa alizonazo Aslay ni ule uwezo wa kutunga, kuimba na kurekodi nyimbo nyingi kwa kipindi kifupi. Aslay ni msanii wa kizazi kipya ambaye tungo zake zimekuwa zikiwakuna wapenzi wa muziki huo, ndani na nje ya nchi. Nyimbo za kijana…

‘Mmasai wa kwanza kupiga dansi’ (3)

Wimbo mwingine uliotia fora wakati huo ni ‘Bide’, alitunga na kuimba kwa lugha ya Kipogoro. Juma Ubao aliamua kupumzika mambo ya muziki kwa kipindi kifupi. Atumia muda huo wa mapumziko kwenda kusoma  masomo ya jioni akiwa na lengo la kuendeleza…

Buriani Lutumba Simaro Massiya

Lutumba Simaro Massiya aliyekuwa mtunzi na mcharazaji maalumu wa gitaa la ‘rhythm’ katika bendi za T.P. OK Jazz na Bana OK, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amefariki dunia Machi 30, mwaka huu katika Jiji la Paris, Ufaransa. Taarifa hiyo…

Diamond Plutnumz shujaa asiyechoka

Msanii wa kizazi kipya, Diamond Platnumz (pichani), ambaye ‘nyota’ yake inaendelea kung’aa kwa kuingiza pesa lukuki kutoka katika maonyesho yake amekuwa akipata mialiko mingi ndani na nje ya nchi, ambako hulipwa ‘kitita’ kizuri cha pesa. Mara baada ya kuzaliwa Oktoba…

P-Square wana utajiri wa kutisha

Wapenzi wa muziki wa kizazi kipya duniani, hasa Afrika, kundi la P-Square si geni masikioni mwao kutokana na kazi zake kukubalika katika makundi mbalimbali. Vijana hao wawili, ambao ni mapacha kutoka nchini Nigeria, Peter Okoye na Paul Okoye, wanaunda kundi…