JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Burudani

‘Mmasai wa kwanza kupiga dansi’ (3)

Wimbo mwingine uliotia fora wakati huo ni ‘Bide’, alitunga na kuimba kwa lugha ya Kipogoro. Juma Ubao aliamua kupumzika mambo ya muziki kwa kipindi kifupi. Atumia muda huo wa mapumziko kwenda kusoma  masomo ya jioni akiwa na lengo la kuendeleza…

Buriani Lutumba Simaro Massiya

Lutumba Simaro Massiya aliyekuwa mtunzi na mcharazaji maalumu wa gitaa la ‘rhythm’ katika bendi za T.P. OK Jazz na Bana OK, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amefariki dunia Machi 30, mwaka huu katika Jiji la Paris, Ufaransa. Taarifa hiyo…

Diamond Plutnumz shujaa asiyechoka

Msanii wa kizazi kipya, Diamond Platnumz (pichani), ambaye ‘nyota’ yake inaendelea kung’aa kwa kuingiza pesa lukuki kutoka katika maonyesho yake amekuwa akipata mialiko mingi ndani na nje ya nchi, ambako hulipwa ‘kitita’ kizuri cha pesa. Mara baada ya kuzaliwa Oktoba…

P-Square wana utajiri wa kutisha

Wapenzi wa muziki wa kizazi kipya duniani, hasa Afrika, kundi la P-Square si geni masikioni mwao kutokana na kazi zake kukubalika katika makundi mbalimbali. Vijana hao wawili, ambao ni mapacha kutoka nchini Nigeria, Peter Okoye na Paul Okoye, wanaunda kundi…

Kipanya: Nilikotoka

Mchora katuni maarufu, Ally Masoud (Masoud Kipanya), amesema hataogopa kumchora rais wa nchi kwa kuwa havunji sheria na kwamba uchoraji wa katuni umedumu kwa muda mrefu duniani kote. Kipanya licha ya kuwa ni mchoraji wa katuni, pia ni mtangazaji wa…

Pumzika kwa amani Oliver Mtukudzi

Mwanamuziki nguli wa muziki wa Jazz kutoka Zimbabwe, Oliver Mtukudzi ‘Tuku’(pichani juu), amefariki dunia wiki iliyopita katika Hospitali ya Avenues jijini Harare akiwa na umri wa miaka 66. Tuku alilazwa hospitalini hapo baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kabla hajalazwa mwanamuziki…