Category: Gazeti Letu
TAWA kuongeza Simba,Chui bustani ya Luhira Songea
…………………………………………………………… Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) chini ya Wizara ya Maliasili na UtaliiĀ inatarajia kuongeza wanyama jamii ya Simba, Chui, fisi,mbuni,kobe na mamba katika bustani ya asili ya Luhira Manispaa ya Songea. Antony Masebe ni Kamanda…
Masauni:Siridhishwi na kasi ya Polisi kushughulikia migogoro ya ardhi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Ruvuma Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amelitaka Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma kuwakamata wafugaji wanaoingiza mifugo katika mashamba ya wakulima na kuwachukulia hatua za kisheria. Amesema haridhishwa na kasi ya jeshi hilo katika…
Simba yarejea kileleni kibabe
Timu ya Simba SC imerejea Kileleni Kibabe baada ya Kuizamisha mabao 4-0 Timu ya Ruvu Shooting Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliochezwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Baada ya kukaa mechi nyingi bila kufunga bao Mshambuliaji…





