JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Gazeti Letu

‘Chanjo ya UVIKO-19 ishara ya upendo kwa jirani’

Na Waandishi Wetu Nia ya uchambuzi huu ni kutoa ushauri kwa watu, hususan Wakristo, katika suala la kujikinga na Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19).  Tunajua ugonjwa huu ni hatari na umeua watu wengi duniani kwa kipindi kifupi. Ni janga…

Mafisadi wajipanga

*Ni vigogo wazito serikalini, waanza figisu ujenzi wa reli ya SGR *Washirikiana na wazabuni wa nje kuhujumu ‘Lot 3’ na ‘Lot 4’ *Waanzisha kundi wakijiita wazalendo, latajwa ni fedha mbele *Kenya walipigwa bilioni 18.4 kila kilomita, wailengesha Tanzania DODOMA Na…

NIDA inavyoliwa

*Yakwama kutoa Vitambulisho vya Taifa kwa wakati *Mabilioni ya fedha za tozo yaachwa bila kukusanywa   *Ukarabati wa magari, mitambo haujafanyika bila sababu *Mkuu Kitengo cha Mawasiliano asema: ‘Hatuna majibu’ DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa…

Tunatia aibu, tunapuuzwa

Wiki iliyopita alifariki dunia mmoja wa watu niliowapenda na kuwaheshimu mno. Utendaji kazi wake uliniaminisha kuwa pengine hakuna haja ya kuwa na mfumo huu wa sasa wa Serikali za Mitaa katika miji, manispaa na majiji.  Charles Keenja, alifanya kazi kubwa…

Maendeleo yetu na kasi ya teknolojia

Maendeleo ya mtu au watu (jamii ) yanahitaji masharti mawili – JUHUDI na MAARIFA, ambayo msingi wake mkubwa ni mtu (mwananchi) na uwezo wake. Katika utaratibu huu ili mwananchi aendelee atahitaji vitu vinne ambavyo ni Ardhi, Watu, Siasa safi na…

Yah: Hatujawahi kuwa siriasi kwa mambo ya msingi

Kama lingekuwa ni genge halafu lipo mahali fulani mbali huko tungesema kuna ‘chuma ulete’ katika vichwa vyetu, yaani leo tunalala na hili ambalo halijaisha na kesho tunaamka na jambo jipya ambalo limebuniwa kututoa katika reli ya mambo ya jana, sisi…