Category: Gazeti Letu
Mkakati kuing’oa CCM mwaka 2020
Mnyukano wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020 umeanza. Vyama 10 vya upinzani vimeandaa mkakati wa kisayansi kukiangusha Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa kutumia Sheria mpya ya Vyama vya Siasa ya Mwaka 2018. Kwa upande wake, CCM imejigamba kuwa maisha ya…
Polisi ‘yamtimua’ askari aliyekamata mihadarati
Jeshi la Polisi limemtimua kazi askari wake, Manga Msalaba Kumbi, mwenye namba F. 5421, kwa kile kinachodaiwa ni mwenendo mbaya kazini. Askari huyo alikuwa anafanya kazi mkoani Mwanza. Uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI umebaini kwamba askari huyo alikumbwa na masahibu…
Wagombea msikiti aliojenga Nyerere
Waumini wa Kiislamu katika Kijiji cha Butiama na uongozi wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mara wamo kwenye mgogoro kuhusu umiliki na uendeshaji wa msikiti uliojengwa kwa msaada wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kijijini hapo….
Magufuli kutua China
Rais Dk. John Magufuli kwa mara ya kwanza anatarajiwa kuvuka mipaka ya Bara la Afrika, kwa kuitembelea China kwa ziara ya kiserikali, Gazeti la JAMHURI limebaini. China imekuwa mdau muhimu wa maendeleo wa Tanzania, kupitia mkakati mahususi wa Tanzania ya…
Lowassa anena
Waziri Mkuu (mstaafu), Edward Lowassa, aliyekuwa mgombea wa ushirikiano wa kisiasa wa vyama vya upinzani, maarufu kwa jina la Ukawa, amerejea CCM wiki iliyopita akitokea Chadema, ametoa neno zito. Wakati watu wengi wakijiuliza imekuwaje Lowassa, mwanasiasa aliyetoa changamoto kubwa kwa…
Wafuja mamilioni
Ufisadi wa fedha za kilimo cha miwa na kiwanda cha sukari vilivyobuniwa na Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Glorious Luoga, ndio uliomfanya Rais John Magufuli, amng’oe kwenye nafasi hiyo, JAMHURI limebaini. Mradi huo ulibuniwa na Luoga kwa kigezo cha kuongeza…