JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Dk Biteko mgeni rasmi mdahalo wa kumbukizi miaka 40 ya hayati Sokoine

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo tarehe 8 Aprili, 2024 anashiriki katika Mdahalo wa Kitaifa wa Kumbukizi ya Miaka 40 ya Hayati Edward Sokoine unaofanyika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo mkoani Morogoro….

Matukio Waziri Mkuu akiwa bungeni

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Stergomena Tax, Bungeni jijini Dodoma Aprili 08, 2024. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Geita Joseph Musukuma, Bungeni jijini Dodoma…

Kupatwa kwa jua leo Aprili 8, 2024, TMA yatoa elimu

Hali ya kupatwa kwa Jua ni tukio linalohusisha kivuli cha mwezi kuangukia juu ya uso wa Dunia ambapo katika maeneo yaliyo ndani ya kivuli hicho Jua huonekana likifunikwa na Mwezi kwa kipindi cha saa chache. Kwa mujibu wa taarifa ya…

Mwili wa aliyekuwa na deni la Sh milioni 18 wazikwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu Familia ya marehemu Juma Jumapili (60), wameishukuru Serikali baada ya kuruhusu kuuchukua mwili wa marehemu huyo uliozuiliwa kutolewa katika Hospitali ya Rufaa Bugando iliyoko jijini Mwanza kutokana na kudaiwa gharama za matibabu sh.milioni 18. Akizungumza…

Makamu wa Rais ashiriki kumbukizi ya hayati Abeid Aman Karume

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume katika kumbukizi ya miaka 52 ya kifo chake tarehe…

Watuhumiwa 514 wakamatwa wakitorosha mifugo kwenda nchi jirani

Jeshi la Polisi kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo kwa kushirikiana na wananchi limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili wakitorosha mifugo 514 kwenda nchi jirani huku wakitumia vibali vya kampuni isiyohusika na mifugo hiyo. Akitoa taarifa hiyo kamanda wa Polisi Kikosi cha…