Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Stergomena Tax, Bungeni jijini Dodoma Aprili 08, 2024. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Geita Joseph Musukuma, Bungeni jijini Dodoma Aprili 08, 2024. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene, Bungeni jijini Dodoma Aprili 08, 2024. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

By Jamhuri