Category: Habari Mpya
Serikali kuendelea kuwakumbuka viongozi waliotangulia
Na Rahma Khamisi Maelezo Waziri wa Ujenzi ,Mawasiliano na Uchukuzi Dkt Khalid Salum Muhammed amesema Serikali inatambua michango ya Viongozi walioshiriki katika kuikomboa nchi ambao wameshatangulia mbele ya haki. Ameyasema hayo huko Migombani Wilaya ya Mjini katika dua ya kumuombea aliyekuwa…
Mtendaji Mkuu TARURA aagiza usanifu upya daraja la Bibi Titi Mohammed -Mohoro
na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Rufiji Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff ameagiza timu ya wataalamu wa TARURA Makao Makuu na ya Mkoa wa Pwani kufanya mapitio ya usanifu wa daraja la…
Tanzania yapokea bilioni 45 kuboresha uzazi wa mpango
Na WAF DSM Serikali ya Uingereza imeendelea kuimarisha ushirikiano wake na Tanzania kwa kutoa Bilioni 45 kusaidia kufanikisha huduma za uzazi wa mpango nchini. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, wakati wa hafla ya kumpokea Waziri…
Waziri Mkuu akiwa bungeni katika picha mbalimbali
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu…
Serikaki kuongeza vituo vinne vinavyotoa mionzi kwa wagonjwa saratani
Na WAF – Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya inaendelea na taratibu za uwekezaji kwa kuongeza vituo vingine 4 kwa kujenga majengo na kuviwezesha vifaa vitakavyotumika kutibu wagonjwa wa Saratani kwa njia ya mionzi. Waziri Ummy amesema hayo leo Aprili…
Serikali imepiga hatua kiuchumi,kidemokrasia na utawala bora
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akizungumza wakati wa Mkutano wake na Ujumbe kutoka Shirika la Marekani la Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation-MCC), ulioongozwa na Bw. Nilan Fernando, jijini Dodoma, ambapo walijadiliana maeneo mbalimbali ya ushirikiano…





