Category: Habari Mpya
TEF yamlilia Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Rais (mstaafu) wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia Februari 29, 2024 katika Hospitali ya Mzena, Kijitonyama, jijini Dar es Salaam alikokuwa anapatiwa matibabu….
Mvua zaharibu daraja la Namiungo Tunduru
Na Muhidin Amri, JamhuriMedia, Tunduru Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha kwa zaidi ya masaa manne katika kijiji cha Namiungo wilayani Tunduru imeharibu miundombinu ya daraja la mto Namiungo lililopo Barabara kuu ya Tunduru kuelekea mikoa ya kusini Lindi,Mtwara…
CHADEMA yamlilia mzee Mwinyi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Rais wa Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi kilichotokea Februari 29, 2024 jijini Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa leo…





