Majaliwa ahani msiba wa Hayati Ali Hassan Mwinyi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa pole Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi alipohani msiba wa baba yake ambaye ni Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi, Machi 01, 2024 Mikocheni Jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi alipohani msiba wa baba yake ambaye ni Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi, Machi 01, 2024 Mikocheni Jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha maombolezo alipohani msiba wa Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi, Machi 01, 2024 Mikocheni Jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)