Category: Habari Mpya
Waziri Mavunde awaeleza wachimbaji wakumbwa, wa kati mwelekeo wa wizara
Asisitiza kuondoa vikwazo, urasimu Aweka Msisitizo Uchumi wa Madini Mkakati Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ikiwa ni Jitihada za Serikali kuendelea kuweka mazingira rafiki ya kiuwekezaji katika Sekta ya Madini nchini, Wizara ya Madini na Chemba ya migodi zimekutana Oktoba 27,…
EWURA yafungia vituo viwili vya mafuta kwa kuhodhi mafuta
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imevifungia vituo viwili vya Mafuta GAPCO Tanzania Limitedi Moshi Service Station,leseni no PRL-2023-104 na Anwar Saleh BakhamisT/A Serious Oil Petrol Station,Leseni na PRL-2019-228…
Dk Mpango akabidhi hatimiliki za kimila Makete
Na Mwandishi Wetu, JammhuriMedia, Njombe Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdori Mpango amekabithi Hati ya Hakimiliki za Kimila kwa wananchi wa Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe. Dkt. Mpango amekabidthi hati saba za mfano…
Historia yaandikwa sekta ya madini
Leo saa kumi alfajiri mtambo wa kuchoronga umeanza kazi rasmi ya utafiti wa Helium katika bonde la Rukwa. Inaaminika kwamba reserve ya Helium iliyopo mkoani Rukwa ni ya tatu kwa uwingi Duniani nyuma ya Marekani na Qatar,utafiti huu utatupa picha…
Rais Samia apeleka bil.35/- kumaliza kero ya maji Kasulu
Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Kasulu Kero ya maji katika Halmashauri ya Mji Kasulu imepata mwarobaini baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kupeleka zaidi ya sh bil. 35 ili kuboreshwa miundombinu ya vyanzo vya maji vilivyopo na ujenzi wa tenki kubwa…
Chongolo ampa rungu Makonda kuanza kazi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Daniel Godfrey Chongolo amesema CCM iko salama na imara katika kusimamia misingi, shabaha na malengo yake, ikiwemo kuendelea kuwa daraja la kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi. Amesema…





