JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Serikali yahimiza nguvu uchumi wa kidigitali kwa wanawake, vijana

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia KWA kuwa wanawake na vijana ni msingi na chachu ya mabadiliko wa masuala yote ya kiuchumi na kijamii, serikali imetaka wadau wote kushirikiana kuwezesha makundi hayo kuchangamkia fursa zinazoambatana na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)….

Regina na simulizi alivyoaga umaskini, aomba andolewe TASAF

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Itilima Mnufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini, unaotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Regina Malisa (52,) ameomba aondolewe kwenye mpango huo baada kuanzisha mradi unaomwezesha awe na uhakika wa kujiingizia kipato. Regina mkazi…

Makamba awasili Algeria kushiriki mkutano wa 20 wa Mawaziri

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba, amewasili nchini Algeria kushiriki Mkutano wa 20 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Nordic ulioanza leo Oktoba 16 – 18 2023, Jijini Algiers,…

Rais Samia : Singida haitashuka asilimia 97 upatikanaji wa umeme Desemba 2023

Shilingi Bilioni 72 kutekeleza miradi ya umeme mkoani humo Zuena Msuya na Mayloyce Mpombo, Singida Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo mwaka 2024 Mkoa wa Singida hautashuka asilimia 97 ya upatikanaji wa…

Mbeto : Miaka mitatu ya Rais Mwinyi imeandika historia mpya Z’bar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Katibu wa Kamati Maalum ya NEC,Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis, amesema kuwa miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi, inaiweka Zanzibar katika orodha ya nchi za…