Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akicheza pamoja na Vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVVCM) mara baada ya kuhutubia Wananchi wa Singida kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mkoa huo yaliofanyika katika Viwanja vya Bombadia tarehe 16 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Singida kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mkoa huo yaliofanyika katika Viwanja vya Bombadia tarehe 16 Oktoba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na wageni mbalimbali mara baada ya kuhutubia Wananchi wa Singida kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mkoa huo yaliofanyika katika Viwanja vya Bombadia tarehe 16 Oktoba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi wa Dini mara baada ya kuhutubia Wananchi wa Singida kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mkoa huo yaliofanyika katika Viwanja vya Bombadia tarehe 16 Oktoba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Machifu mara baada ya kuhutubia Wananchi wa Singida kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mkoa huo yaliofanyika katika Viwanja vya Bombadia tarehe 16 Oktoba, 2023
Wananchi wa Mkoa wa Singida wakiwa kwenye Uwanja wa Bombadia kwa ajili ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mkoa huo katika Viwanja vya Bombadia tarehe 16 Oktoba, 2023