JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Makamu wa Rais akizungumza na mama Janeth Magufuli

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na Mama Janeth Magufuli ambaye ni mjane wa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, wakati alipomtembelea…

Agizo la Dk Mwigulu kuhusu lumbesa laanza kutekelezwa

WIZARA ya Kilimo pamoja na Wizara ya Viwanda na Biashara zimeanza kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kuhusu marufuku ya lumbesa katika mazao ya kilimo nchini. Kauli hiyo imetolewa leo Jumapili Machi 15, 2026 na Naibu Waziri wa…

Fursa mpya za madini zawafikia vijana

🟠Tume ya Madini yatangaza miradi, maeneo ya uchimbaji na mikopo ya uwekezaji kwa mwaka wa fedha 2026/2027 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Tume ya Madini imetangaza mipango ya miradi ya maendeleo na fursa mbalimbali kwa vijana katika mwaka wa fedha…

Ulega : Chini ya uongozi wa Rais Samia miundombinu inaendelea kujengwa kila kona ya nchi

Na Mwandisshi Wetu Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Serikali inaendelea kutekeleza miradi mingi ya maendeleo ya miundombinu nchini, hatua inayodhihirisha dhamira ya dhati ya kuijenga na kuikuza Tanzania. Ulega…

Waziri Mkuu : Katavi kufunguliwa kwa lami pande zote

‎Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imedhamiria kujenga barabara zote zinazounganisha mkoa wa Katavi kwa lami ili kuufanya mkoa wa kimkakati na kibiashara. ‎Amesema hayo koani Katavi alipoweka jiwe la msingi ujenzi wa…

Chalamila atoa rai shule mkoani Pwani kuanzisha klabu za kupinga rushwa

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Crispin Chalamila, ametoa wito kwa shule zote za msingi na sekondari mkoani Pwani ambazo bado hazijaanzisha klabu za kupinga rushwa, kuhakikisha zinaanzisha klabu hizo…