Category: Habari Mpya
Majaliwa amkaribisha Biteko ofisini
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 2, 2023 amemkaribisha Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu zilizopo Magogoni jijini Dar es Salaam na amemuahidi kumpa ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yake. Pia, Waziri Mkuu ametumia…
Rais Samia aitaka PAPU kutumia mashirika ya ndege ya Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameutaka Umoja wa Posta Afrika (PAPU) kutumia mashirika ya ndege ya Afrika katika usafirishaji wa vifurushi ili kuendelea kuonesha umuhimu wa huduma za posta barani humo. Alisema hayo…
Rc Dar atoa taarifa kuhusu kongamano la mifumo ya chakula Afrika 2023
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Septemba 1, 2023 ametoa taarifa kwa umma kupitia vyombo vya habari katika Ukumbi wa Mikutano JNICC kuhusu kufanyika kwa Kongamano la mifumo ya Chakula Afrika (AGRF SUMMIT 2023- Tanzania)…
Majaliwa: Tutaendelea kuwaunga mkono wadau wa sekta ya binafsi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kuwaunga mkono wadau wa sekta binafsi katika jitihada zote za kuimarisha ustawi wa watoto wa Tanzania. Amesema kuwa Serikali kwa upande…
Polisi Mbeya wamshikilia bibi kwa kumuua mjuu wake
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia bibi mmoja aitwaye Malogi Luobela (75), Mkazi wa Kijiji cha Ikoho Wilaya ya Mbeya Vijijini kwa tuhuma za kumuua mjukuu wake aitwaye Vision Erick mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi mitano kwa…





