JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Majaliwa: Seriali kuyaenzi mambo yote yaliyofanywa na marehemu Membe

Wazri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuyaenzi mambo yote mazuri yaliyofanywa na marehemu, Bernad Membe wakati wa utumishi wake Serikalini. Marehemu Membe ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje alifariki dunia Mei 12 mwaka huu katika hospitali ya…

Muhimbili yafanya upasuaji wa kwanza kuondoa bandama

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMediaHospitali ya Taifa Muhimbili imefanya upasuaji mkubwa wa kuondoa bandama lenye shida kwa mgonjwa kwa njia ya matundu madogo (laparoscopic splenectomy) Upasuaji huu ni wa kwanza kufanyika hapa nchini ambao umefanywa na madaktari wa upasuaji wa MNH…

NHC yatakiwa kutilia mkazo ukusanyaji madeni

Na Munir Shemweta,JamhuriMedia,Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi, Maliasili na Utalii imelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuhakikisha linatilia mkazo ukusanyaji madeni ya wapangaji katika nyumba zake. Mwenyekiti wa Kamati hiyo Timetheo Mnzava amesema, pamoja na shirika hilo…

Putin atoa wito kwa wafanyakazi wa kujitolea kijeshi kula kiapo

Putin amewataka wajitolea wote “wanaofanya kazi za kijeshi” kula kiapo mbele ya bendera ya Serikali ya Urusi. Alitoa amri ya kuomba kiapo hicho, ambacho kinawafaa wale wanaoshiriki katika shughuli za kijeshi nchini Ukraine, kusaidia jeshi, pamoja na raia wanaohudumu katika…

TMDA yatoa elimu ya matumizi sahihi na madhara ya dawa kwa shule za sekondari Rufiji

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji Mamlaka ya Dawa na vifaa Tiba Tanzania (TMDA) imetoa elimu ya namna ya kutumia dawa kwa usahihi na kuepuka matumizi holela ya dawa, ikiwemo kutotumia dawa zinazoweza kuzuia kupata ujauzito kwa wanafunzi na dawa zinazoongeza…

Jeshi la Polisi lawakumbusha wananchi kuyakumbuka makundi maalum

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi- Dar es salaam. Jeshi la Polisi limewakumbusha wananchi kushiriki katika maswala ya kijamii ikiwa ni Pamoja na kuyakumbuka makundi maalum ya wahitaji yaliyopo katika jamii inayowazunguka ili kujenga ustawi katika Jamii ya watanzania….