Category: Habari Mpya
Canada kuchangia mfuko wa afya wa pamoja ili Tanzania kufikia afya kwa wote
Na WAF – Dar es Salaam Serikalo ya Canada imeihakikishia Tanzania kuwa itaendelea kushirikiana pamoja katika kuboresha Sekta ya Afya ili kufikia malengo ya afya kwa wote huku huduma bora za afya zikiendelea kutolewa na kupatikana kwa uhakika. Hayo yameelezwa…
Watafiti watakiwa kuzingatia sheria za kufanya tafiti za afya
Na WAF – Dar Es Salaam Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amewataka watafiti wote nchini kuzingatia sheria na kanuni za tafiti za Afya ikiwemo kupata kibali kutoka NIMR pamoja na kuzingatia maslahi ya Taifa. Waziri Ummy ametoa agizo hilo leo…
Halmashauri Bagamoyo kujenga jengo la utawala litakalogharimu bil.6.2- DED Selenda
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo, inatarajia kujenga jengo la Utawala lenye gharofa mbili, eneo la Ukuni kata ya Dunda, Jengo ambalo litagharimu kiasi cha sh.bilioni 6.2 hadi kukamilika kwake. Ujenzi huo utakuwa wa awamu mbili…
DCEA yakamata kilo milioni moja dawa za kulevya
Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Dodoma Mamlaka ya Kudhibiti na Kupamba na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola imefanikisha kukamata jumla ya kilogramu milioni 1.96 za dawa za kulevya mwaka 2023. Katika ukamataji huo, watuhumiwa 10,522…
USAID, JET wadhamiria kupunguza migongano ya binadamu na wanyamapori, waandaa mdahalo
Na Stella Aron, JamhuriMedia,Dar es Salaam Imeelezwa kuwa ipo haja ya wananchi kuendelea kuelimishwa kuhusiana na umuhimu wa tembo ili kusaidia kulindwa kwa shoroba ambazo zina fursa nyingi kwa jamii ikiwa ni pamoja na kuwainua kiuchumi. Akizungumza wakati wa mdahalo…





