JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Baba amuua mwanaye mlemavu na kumzika porini

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Geita Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Elias Bakumye (32), mkazi wa kijiji cha Chikobe, Kata ya Butundwe Wilaya ya Geita mkoani humo kwa tuhuma za kumuua mwanaye mlemavu wa viungo na kumzika porini. Akithibitisha kutokea kwa…

Rais Samia aridhia msahama wa bil.21.3/- za riba ya malimbikizo ya kodi ya ardhi

Na Munir Shemweta,JamhuriMedia, Mwanza Katika kinachoonekana kuwajali wananchi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameridhia msamaha wa riba ya malimbikizo ya kodi la pango la ardhi ya shilingi Bilioni 21.3 kwa wadaiwa sugu wa kodi…

Kailima ampongeza Waziri Mhagama

Waziri wa Nchi Ofisi ya waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Jenista Mhagama amesema Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu imezingatia vipaumbele muhimu katika maeneo yote yanayoratibiwa na Ofisi hiyo ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi…

Waziri Mkuu na Waziri Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Slovenia awasili nchini

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Slovenia Tanja Fajon na ujumbe wake amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Ziara hiyo inalenga kuimarisha na kukuza uhusiano wa kidiplomasia,kiuchumi na kisiasa kati ya…

‘Serikali haijashindwa kulipa mikopo’

Na Farida Ramadhani, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imeeleza kuwa hakuna mikopo ambayo imeshindwa kulipa katika kipindi cha Awamu zote sita za uongozi. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hamad Hassan Chande (Mb), alipokuwa akijibu swali…