Category: Habari Mpya
Serikali yaahidi kuendelea kuishika mkono TAZARA
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete amesema Serikali itaendelea kutenga fedha kila mwaka kwa ajili ya kuwekeza kwenye Shirika la Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) ili kuhakikisha shirika hilo linapata faida na kuweza kujiendesha. Akizungumza katika tukio maalum la…
Wakuu wa mikoa wapigwa msasa biashara ya hewa ukaa
Na OR-TAMISEMI WAKUU wa mikoa yote Tanzania Bara wamepewa elimu juu ya biashara ya hewa ukaa nchini ambayo itasaidia kuongeza mapato na kuimarisha utoaji wa huduma kwenye mamlaka za Serikali za Mitaa. Hayo yameelezwa, jijini Dodoma katika kikao cha pamoja…
‘Sekta ya afya imepiga hatua kwenye huduma ya mionzi ‘
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) anayeshughulikia Afya, Dkt.Charles Wilson Mahera amesema kufikia mwaka 2023 jumla ya X-ray za kisasa za kidigitali 213 zimesimikwa, Utra sound 67 zimesambazwa na kusimikwa…
Rais afanya mabadiliko kwa mabalozi, Polepole apelekwa Cuba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili na uteuzi wa Balozi mmoja kama ifuatavyo: Amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba. Kabla ya uteuzi huu Balozi Polepole alikuwa…





