Biden awasilisha bajeti inayojali watu wa kati

WASHINGTON, MAREKANI Ikulu ya Marekani imependekeza bajeti ya dola trilioni 6 kwa ajili ya mwaka wa fedha 2022. Wakati mapendekezo hayo ya bajeti yakitolewa, Rais Joe Biden amejiandaa kutoa maelezo ya mipango yake ya kifedha katika kipindi cha kati. Atatoa maelezo hayo wakati atakapolihutubia Baraza la Congress. Bajeti hiyo inalenga kuweka matumizi endelevu katika kipindi…

Read More

Ujerumani kuilipa Namibia fidia

WINDHOEK, NAMIBIA Zaidi ya miaka 100 baada ya serikali yake ya kikoloni kufanya matendo ya kikatili kwa wakazi wa Namibia, Ujerumani imetambua makosa hayo kama mauaji ya kimbari. Ukatili huo ulifanywa dhidi ya watu wa jamii za Herero na Nama, na sasa Ujerumani imeamua kuilipa Namibia fidia ‘kiaina’ kutokana na makosa iliyoyafanya. Ujerumani imekubali kutoa…

Read More

Pumzika Jenerali Tumainiel Kiwelu

Na Joe Beda Rupia Luteni Jenerali Tumainiel Kiwelu ni mmoja wa viongozi watakaokumbukwa daima katika Mkoa wa Rukwa, hasa mjini Sumbawanga. Ndiyo, Jenerali Kiwelu. Hakika ameacha alama zisizofutika. Ninashindwa nianzie wapi katika kumuelezea mwamba huyo wa Vita ya Kagera. Anyway, ngoja nianzie popote. Kiwelu, mwanajeshi haswa, mwamba, jeuri lakini makini kweli kweli aliyeongoza Operesheni Chakaza…

Read More