JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Makaa ya mawe yazidi kuing’arisha sekta ya madini

Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amesema kuwa uchimbaji wa makaa ya mawe hususan katika mkoa wa Ruvuma umeendelea kuipaisha Sekta ya Madini kutokana na wawekezaji wengi kuendelea kujitokeza yakiwa ni matokeo ya mazingira mazuri ya uwekezaji…

Rais awapongeza vijana wa kitanzania kwa kupata medali ya fedha

Rais Dkt. Samia Suluhu Hssan amewapongeza vijana wa Kitanzania walioibuka washindi wa pili na kupata medali ya fedha katika mashindano ya kwanza ya Global Robotics Challenge yaliyofanyika Geneva Uswisi na kushirikisha mataifa zaidi ya 190.  Amefarijika kusikia kuwa roboti iliyoundwa…

Mkenda:Msiwafiche ndani watoto wenye mahitaji maalumu

Wito umetolewa kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum kutowaficha watoto ndani badala yake wawapeleke shule kwa kuwa zipo shule maalum kwa ajili ya watoto hao. Hayo yamesemwa na Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia alipokuwa akizindua majengo…

Lyoto Development Foundation kuwanufaisha kiuchumi Kata ya Mzimuni

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Diwani wa Kata ya Mzimuni Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Manfred Lyoto ameanzisha Taasisi ijulikanayo kama Lyoto Development Foundation ili kuhakikisha inatoa mikopo isiyokuwa na riba kwa wananchi wa kata hiyo ili wafanye shughuli za kujikwamua kiuchumi….

Kamati Kuu CCM yateua wajumbe wapya

Kamati Kuu ya Halmashauri ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeteua wajumbe wapya saba kutoka Tanzania Bara na Zanzibar pamoja na sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC). Akitoa taarifa ya kikao hicho leo Januari 14, 2023, Shaka Hamdu Shaka ambaye…

Wanne wa familia moja wafariki kwa ajali

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Morogoro Watu wanne wa familia moja wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya gari dogo walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori katika eneo la Kwambe Point A Dumila, wilayani Kilosa mkoani Morogoro. Kamanda wa…