JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Rais Samia aipa TANROADS bil 66/- kuanza urejeshaji miundombinu ya barabara iliyoharibika

Na Mathias Canal, JamhuriMedia, Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa Bilioni 66 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu ya barabara zilizoharibika nchini. Fedha hizo tayari zimegawanywa kwa mameneja wa TANROADS mikoa…

CCM Morogoro wampongeza Dk Rose kwa kuchangia ofisi za chama

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilombero MWENYEKITI wa Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk. Rose Rwakatare, ameahidi kutoa mabati 100 kwaajili ya ujenzi wa ofisi ya chama hicho Wilaya ya Kilombero inayoendelea kujengwa ambayo itagharimu milioni 250. Alitoa ahadi hiyo jana…

Serikali yazitaka taasisia fedha kutoa mikopo kufuata utaratibu

Na Josephine Majura, WF, Dodoma Serikali imesema kuwa inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kisera, kiutawala na kisheria ili kudhibiti tabia ya baadhi ya taasisi za fedha kutoa mikopo kinyume na miongozo iliyopo. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri…

Watumishi Wizara ya Fedha watakiwa kuendelea kuzingatia sheria

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi.Jenifa Omolo akiwataka watumishi wa Wizara kutoa maoni yao yatakayosaidia katika kuboresha utendaji wakati wa mkutano wa 37 wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha uliofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania,…

Rais wa Mabunge Duniani Dk Tulia akutana na Balozi wa Norway nchini

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini Tanzania Mhe. Tine Tonnes Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma leo…