Category: Habari Mpya
Serikali yataja mikakati ulinzi na usalama kwa wenye ualbino
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametangaza mikakati ya serikali bungeni inayolenga kuimarisha ulinzi na usalama wa makundi ya watu wenye ulemavu na ualbino nchini. Akitoa tamko la serikali leo Juni 20, ikiwa ni siku chache tangu mtoto mwenye ualbino auawe kikatili…
Waziri Majaliwa kuzindua uboreshaji daftari la Kudumu la Wapiga Kura Kigoma
Na. Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Kigoma Wananchi mkoani Kigoma wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao wakati wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linalotarajiwa kuzinduliwa mkoani humo Julai Mosi, 2024. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti…
Vijana waandamana Kenya
Kundi la vijana limeandamana mjini Nairobi, Kenya leo Juni 20, 2024 kuishinikiza serikali kufuta mapendekezo ya muswada wa sheria ya kodi, ambao wanadai hauna tija kwa wananchi. Vijana hao wamedai muswada huo haukushirikisha wadau wengi wakiwemo wanasiasa, ili uweze kujadiliwa…
DC Magoti atembelea mradi wa uwekezaji wa Visegese Kisarawe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kisarawe Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Petro Magoti amefanya kikao kazi na wataalam wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyi pamoja na Kamati ya Usalama Wilaya kwa ajili ya kujadili maendeleo ya Mradi wa…





