Category: Habari Mpya
Dk Biteko akutana na wawekezaji wa Modern Industrial Park
📌 Asisitiza Serikali itaendelea kushirikiana na wawekezaji Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa Modern Industrial Park wanaomiliki kongani ya…
Mamia wajitokeza kambi ya madaktari bingwa Arusha
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Kambi ya Madaktari bingwa Imeanza kuhudumia wananchi wa Mkoa wa Arusha kwenye Kliniki maalum iliyoanza leo Juni 24, 2024 ikitarajiwa kufanyika kwa siku saba Mfululizo kwenye Viwanja vya michezo vya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha….
Baba aliyepoteza watoto watatu kwa kuungua moto naye afariki
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Idadi ya waliofariki katika ajali ya moto iliyoua watoto watatu wa familia moja jijini Arusha imeongezeka baada ya baba wa watoto hao askari CRI wa TANAPA, Zuberi Hassan Msemo kufariki. Kaimu Kamanda wa Jeshi la…
Waziri Mkuu : Taasisi za umma zitumie mifumo ya kidijitali
Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka taasisi za umma ziweke mipango madhubuti ya kutumia mifumo ya kidijitali ambayo italeta mageuzi ya kiutendaji na kuifanya Tanzania kuendana na mapinduzi ya nne ya viwanda yanayotumia TEHAMA. Amesema kuwa mifumo hiyo…
Maboresho yaliyofanywa na TANROADS kwenye mizani yadhibiti mianya ya rushwa – Mhandisi Kyamba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia TANROADS imekamilisha ujenzi wa Mzani mpya wa kisasa wa Mikumi uliopo barabara kuu ya Morogoro – Iringa, pamoja na maboresho katika mizani ya…
Kampeni chafu yaanzishwa dhidi ya Kidata wa TRA
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Kampeni chafu imeanzishwa kwenye mitandao ya kijamii dhidi ya Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA), Alphayo Kidata, na genge la wakwepa kodi ili kujaribu kumchafua Kamishna huyo. Genge hilo limewalipa wahuni…




