JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar azindua maonesho ya miaka 60 ya Muungano Dar

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es salaam Katika kipindi cha miaka 60 ya Muungano, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zimefanikiwa kusimamia utekelezaji wa masuala ya Muungano kwa ufanisi mkubwa kwa kuimarika kwa…

NEMC yaonya wanaojenga bila tathmini ya mazingira

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limewaonya watu wanaojenga miradi bila kupata Cheti cha Tathmini ya Mazingira EIA kwenye baraza hilo kwamba wanakabiliwa na faini ya shilingi milioni 10….

JWTZ latoa magari kumi Rufiji kurahisisha usafiri

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji Jeshi la Wananchi wa Tanzania limetoa magari kumi kwa ajili ya kusaidia kusafirisha vyakula kwenda kwenye makambi ya waathirika wa mafuriko walioko kwenye Wilaya za Rufiji na Kibiti Mkoa wa Pwani. Akipokea magari hayo April…

Asasi ya AGENDA yalia na matumizi ya plastiki na athari za kimazingira

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizojiunga katika kupunguza matumizi ya plastiki kama njia mojawapo ya kutunza na kuhifadhi mazingira. Katika kutekeleza suala hilo Juni Mosi, mwaka 2019 Tanzania ilitangaza marufuku ya kutengeneza, kusambaza, kutumia…

Kinana: Serikali inafuatilia kwa makini uharibifu wa miundombinu uliosababishwa na mvua

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Abdulrahman Kinana amesema Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali kwa ujumla inafuatilia kwa makini uharibifu mkubwa wa miundombinu unaosababishwa na mvua zinazoendelea kunyeesha nchini. Amesema kuwa katika maeneo ambayo yameathirika sana, Serikali imepeleka…