Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Abeid Aman Karume Zanzibar ambako atafunga  Mkutano wa Kujenga Uelewa wa Pamoja na Ufanyaji wa Kazi wa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge (SADCOPAC) kwenye hoteli ya Goilden Tulip, Aprili 18, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofunga Mkutano wa Kujenga Uelewa wa Pamoja na Ufanyaji wa Kazi wa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge (SADCOPAC) kwenye hoteli ya Goilden Tulip, Zanzibar, Aprili 18, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

By Jamhuri