Category: Habari Mpya
Matinyi : Bwawa la Umeme la Nyerere siyo chanzo cha mafuriko Rufiji
Na Georgina Misama, Maelezo Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi amesema Bwawa la Umeme Julius Nyerere (JNHPP) halikusababisha mafuriko yanayoendela katika wilaya za Rufiji na Kibiti mkoani Pwani na badala yake bwawa…
Rais Samia awasili Arusha kushiriki misa ya 40 ya Hayati Sokoine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro KIA,tayari kwaajili ya kuelekea Wilayani Monduli Mkoani Arusha kwenye Kumbukumbu ya miaka 40 ya kifo cha Hayati Edward Moringe Sokoine, aliyekuwa Waziri…
Mpimbwe wampongeza Naibu Waziri Pinda
Na Munir Shemweta, JamhuriMedia, Mlele Mbunge wa jimbo la Kavuu katika halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Geophrey Pinda amepongezwa kwa kuwakutanisha wananchi wa jimbo lake kusheherekea nao Siku Kuu ya…
Polisi kutoka nchi 14 kufanya mazoezi ya pamoja kukabiliana na uhalifu
Na Mwandishi, Jeshi la Polisi, Kilimanjaro Jeshi la Polisi Nchini, limesema linatalajia kuwa, mwenyeji wa zoezi la mafunzo ya utayari kwa vitendo (Field Training Exercise – FTX) mwaka 2024 litakalojumuisha nchi 14 wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi Ukanda…
Jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka mwanafunzi
Mahakama ya Wilaya ya Songwe mkoani Songwe tarehe 08 April 2024 imemhukumu mshtakiwa Shomari Hamis kwajina maarufu Kijasho Ras (28) Mchimbaji wa Madini, mkazi wa Patamela kata ya Saza, kutumikia adhabu ya Kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la…
‘Tuendelee kuyaishi tuliyojifunza mwezi Mtukufu wa Ramadhani’
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka waumini wa dini ya kiislam kuendelea kuyaishi yale waliyojifunza wakati Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Amesema kuwa lengo ni kuhakikisha jamii inaendelea kuwa bora na kulifanya Taifa kuwa lenye tulivu, amani na mshikamano “Popote Tanzania unapokwenda…





