Category: Kimataifa
Tanzania,Namibia zasaini hati za makubaliano ya ushirikiano
Windhoek, Namibia, 10 Machi 2023 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri Namibia zimesaini Hati za Makubaliano ya ushirikiano katika masuala ya usalama, mishati na mashauriano ya kisiasa na kidiplomasia. Hati za Makubaliano hayo zimesainiwa katika Mkutano wa Tatu wa…
Askari wa akiba wa Urusi hawana silaha wapigana kwa koleo
Askari wa akiba wa Urusi huenda wanatumia “makoleo” kwa mapigano ya “mkono kwa mkono” nchini Ukraine kutokana na uhaba wa risasi, Wizara ya Ulinzi ya Uingereza inasema. Mwishoni mwa Februari, askari wa akiba walielezea kuwa waliamriwa kushambulia Ukraine “wakiwa na…
Bola Tinubu atangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais wa Nigeria
Mgombea wa chama tawala Bola Tinubu ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliokumbwa na utata nchini Nigeria. Mwanasiasa huyo mkongwe mwenye umri wa miaka 70 alipata asilimia 36 ya kura, matokeo rasmi yanaonyesha. Mpinzani wake mkuu Atiku Abubakar alipata asilimia…
Urusi yatengwa na Umoja wa Mataifa
Umoja wa Mataifa umeitenga Urusi siku ya Alhamisi, wakati wa kuadhimisha mwaka mmoja tangu Urusi ilipoivamia Ukraine huku ikitoa wito wa kuwepo kwa “amani na haki ya kudumu” na kuitaka tena Urusi kuondoa wanajeshi wake na kuacha mapigano. Siku moja…
Mwalimu achomwa kisu na mwanafunzi hadi kufa nchini Ufaransa
Mwanafunzi wa shule ya sekondari amemchoma kisu mwalimu hadi kufa katika shule moja katika mji wa Saint-Jean-de-Luz nchini Ufaransa. Msemaji wa Serikali ya Ufaransa Olivier VĂ©ran amethibitisha shambulio hilo la Jumatano na kusema kuwa mshukiwa alikuwa na umri wa miaka…
Tetemeko la ardhi jipya latikisa Uturuki na Syria
KWA mara nyingine tena waokoaji wanatafuta watu waliokwama chini ya vifusi baada ya matetemeko mawili mapya ya ardhi kuikumba Uturuki na kuua takribani watu watatu. Matetemeko ya ukubwa wa 6.4 na 5.8 yalipiga kusini-mashariki karibu na mpaka na Syria, ambapo…