Category: Kimataifa
Wimbi jipya la corona majanga kwa Japan
TOKYO, JAPAN Japan imetangaza hatua za tahadhari baada ya kuibuka wimbi jingine la maambukizi ya virusi vya corona. Nchi hiyo imetangaza kutenga kiasi cha yen trilioni moja (dola bilioni 9.1 za Marekai) kukabiliana na wimbi hilo. Hatua hiyo ya serikali…
Mwisho wa Netanyahu kisiasa?
TEL AVIV, ISRAEL Mwamba wa kisiasa wa Israel umeanguka. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Benjamin Netanyahu kushindwa kutetea nafasi yake ya uwaziri mkuu nchini humo. Netanyahu amedumu katika nafasi hiyo kwa kipindi kirefu kiasi cha kuonekana kuwa kioo cha Serikali…
NATO yaionya China
BRUSSELS, UBELGIJI Jumuiya ya NATO imetoa onyo kali kwa China dhidi ya harakati zake za kujiimarisha kijeshi lakini ikasema kauli yake hiyo haimaanishi kuwa ipo tayari kuingia kwenye vita baridi na nchi hiyo ya Mashariki ya Mbali. Wakizungumza katika kikao…
Marekani yapanga kwenda Sayari ya Venus
WASHINGTON, MAREKANI Shirika la Anga za Mbali la Marekani (NASA) limepanga kurusha vyombo viwili kwenda kwenye Sayari ya Venus. Shirika hilo limetangaza hivi karibuni kuwa limepanga kufanya safari mbili zitakazofanyika katika kipindi cha miaka 30 ijayo. “Safari hizi mbili zinazohusiana…
Senegal kuanza kuzalisha chanjo za corona
DAKAR, SENEGAL Senegal imetangaza kuwa imeanza maandalizi ya kuzalisha chanjo dhidi ya ugonjwa wa corona. Inaungana na nchi nyingine kadhaa za Afrika ambazo nazo zimetangaza mipango yao ya kuzalisha chanjo dhidi ya ugonjwa huo ambao umeisumbua dunia kwa zaidi ya…
Bei ya mafuta yaanza kupanda tena
LONDON, UINGEREZA Bei ya mafuta katika soko la dunia imeanza kupanda baada ya kuwa chini kwa kipindi kirefu kutokana na madhara ya janga la COVID-19. Bei ya pipa moja la mafuta ilifikia dola 70 jijini New York katikati ya wiki…