JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Man United na Tottenham zaona ‘mwezi’ michuano ya Europa

Ushindi mnono wa Manchester United na Tottenham Hotspurs kwenye mkondo wa kwanza wa nusu fainali za Ligi ya Europa zimeamsha matumaini mapya kwa vikosi hivyo vya England. Ushindi huo umeleta matumaini kwa timu hizo kushinda kombe hilo na kufuzu kushiriki michuano…

Kujiondoa kwa Marekani kutatingisha pakubwa miradi ya kiafya – WHO

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuwa uamuzi wa kujiondoa kwa mfadhili wao mkubwa Marekani kutatingisha pakubwa miradi ya kiafya ya shirika hilo la umoja wa mataifa. Mkuu wa WHO Tedros Ghebreyesus ametoa wito kwa mataifa mengine yaendelee kuchangia ili…

Mamia ya wanajeshi wa DRC watafuta hifadhi UN

Mamia ya wanajeshi na maafisa wa polisi wa Congo wanaotafuta hifadhi katika kituo cha Umoja wa Mataifa huko Goma tangu kutekwa kwa mji huo wa mashariki mwezi Januari wanahamishiwa Kinshasa, Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu ilisema Jumatano. ICRC ilisema…

Watano wauawa kwa shambulio wanaoshukiwa kuwa Al-Shabaab Kenya

Wafanyakazi watano wa machimbo ya mawe wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa kufuatia shambulio lililofanywa na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al-Shabaab katika eneo la machimbo katika Kijiji cha Bur Abor, Mandera Mashariki nchini Kenya. Katika kisa kilichotokea mapema Jumanne asubuhi,…

Urusi yaukomboa mji wa Kursk uliotekwa na Ukraine

Rais wa Urusi Vladimir Putin amepokea ripoti kutoka kwa Mkuu wa Majeshi ya Urusi Jenerali Valery Gerasimov iliyothibitisha kukomboa mji wa Kursk baada ya miezi karibu kumi ya mji huo kutekwa na majeshi ya Ukraine na washirika yaliyopo katika mkoa…

Mume wa marehemu mwimbaji wa muziki wa injili wa Nigeria kunyongwa

Mahakama Kuu huko Abuja amemhukumu Peter Nwachukwu, mume wa mwimbaji maarufu wa injili Osinachi, kifo kwa kunyongwa kwa kupatikana na hatia ya mauaji. Hukumu hiyo, iliyotolewa na Jaji Nwosu-iheme, inatolewa miaka mitatu baada ya kifo cha Osinachi kilichotokea mnamo Aprili…