Category: Kimataifa
Urusi: Mazungumzo na Ukraine huko UAE yalikuwa chanya
Ikulu ya Urusi Kremlin, imesema hii leo kwamba mazungumzo ya pande tatu yaliyoratibiwa na Marekani huko Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kati ya wajumbe wa Urusi na Ukraine yalifanyika kwa mtazamo wa kujenga. hIkulu ya Urusi Kremlin, imesema hii…
Dhahabu yapanda thamani kutokana na mivutano ya kisiasa na kiuchumi
BEI ya dhahabu imepanda kwa zaidi ya dola za kimarekani 5,000 (£3,659) kwa gramu 28.35 kwa mara ya kwanza, ni ongezeko la thamani kwa zaidi ya asilimia 60 mwaka 2025. Hii inakuja huku mvutano kati ya Marekani na NATO kuhusu…
Mafuriko yauwa watu 61 nchini Afghanistan
Theluji na mvua kubwa ambayo imenyesha kwa muda wa siku tatu zilizopita nchini Afghanistan, zimesababisha vifo vya zaidi ya watu 60 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 100 kote nchini humo. Msemaji wa Mamlaka ya Kitaifa ya Kukabiliana na Maafa Yousaf…
Zelensky : Ukraine itazungumza na Marekani na Urusi
Rais Volodymyr Zelensky amesema mazungumzo ya pande tatu kuhusu kumaliza vita nchini Ukraine yatafanyika kati ya Ukraine, Urusi na Marekani katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), baada ya kukutana na Rais Donald Trump huko Davos. Wakati juhudi za kidiplomasia…
Polisi Uganda yamkamata mbunge wa upinzani NUP
Polisi Uganda imesema imemkamata mbunge na afisa mwandamizi wa chama kikuu cha upinzani, National Unity Platform (NUP), kwa tuhuma za kuhusika katika vurugu za uchaguzi ambazo zilisababisha vifo vya takriban watu saba. Mbunge huyo, Muwanga Kivumbi, ambaye pia ni makamu…
Marekani inatarajiwa kujiondoa rasmi kutoka WHO
Marekani inatarajiwa kujiondoa rasmi hii leo kutoka Shirika la Afya Duniani WHO, hatua ambayo imeibua wasiwasi mkubwa miongoni mwa wataalam wa afya na jumuiya ya kimataifa. Hatua hiyo imekuja licha ya tahadhari kwamba kujiondoa kwa taifa hilo lenye ushawishi mkubwa…





