JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Iran yaionya Marekani dhidi ya uvamizi wa aina yoyote

IRAN imesema itajibu vikali shambulizi lolote litakalofanywa na Marekani. Ujumbe wa Iran kwenye umoja huo umetoa onyo hilo jana Jumatano likijibu kitisho cha Rais Donald Trump cha kuiingilia kijeshi. Ujumbe huo uliandika kwenye mtandao wa X kwamba Iran iko tayari…

Ndege yaanguka Colombia, watu wote 15 wafariki dunia

Ndege ya abiria imeanguka kaskazini mwa Colombia, na kuwaua watu wote 15 waliokuwemo, shirika la ndege la serikali la nchi hiyo, Satena, limethibitisha. Katika taarifa, shirika hilo lilisema ndege yake aina ya Beechcraft 1900”, ilipata ajali mbaya,” lakini halikutoa maelezo…

Brazil yaruhusu kilimo cha bangi kwa matumizi ya tiba

Wakala wa Taifa wa Udhibiti wa Afya wa Brazil imeruhusu rasmi kilimo cha mmea wa Cannabis sativa nchini Brazil kwa matumizi ya tiba na utafiti wa kisayansi. Uamuzi huo umetokana na maelekezo ya Mahakama ya Juu ya Haki (STJ), ambayo…

CAF yaipiga faini ya dola 200,000 Morocco kwa kutaka ‘kuiba’ taulo la Senegal

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imeorodhesha adhabu walizotoa kwa Morocco na Senegal kufuatia vurugu iliyoshuhudiwa wakati wa fainali ya AFCON 2026. Mashabiki wengi wa mpira walikuwa na hamu ya kujua hatua zipi zitashukuliwa na shirikisho hilo huku kila upande ukiamini…

Madaktari wafanikiwa kurejesha uume uliokatwa nchini Ethiopia, watumia saa 9 kurejesha

Madaktari katika hospitali ya Alert huko Addis Ababa wamefanikiwa kurudisha uume uliokatwa wa kijana mmoja baada ya upasuaji wa saa saba. Dkt. Abdurrezak Ali, mkuu wa Idara ya Upasuaji na Urekebishaji, aliambia BBC kwamba mgonjwa huyo alijiumiza usiku wa manane…

Netanyahu : Iran ikivamia Israel, tutajibu kwa nguvu haijawahi kushuhudiwa

Waziri Mkuu wa Israel amesema kuwa iwapo Iran itajaribu kuishambulia nchi yake kwa shambulio la kushtukiza, ataijibu kwa nguvu kali. Benjamin Netanyahu alisema katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu uwezekano wa Iran kuishambulia nchi yake mapema, “Ikiwa Iran itafanya…