JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Watu bilioni 3.8 kukumbana na joto kali ifikapo 2050

Wanasayansi wameonya leo kwamba karibu watu bilioni 3.8 duniani, huenda wakakabiliwa na joto kali zaidi ifikapo mwaka 2050 huku nchi za ukanda wa Tropiki zikitarajiwa kuathirika zaidi. Wanasayasni wameonya leo kwamba karibu watu bilioni 3.8 duniani, huenda wakakabiliwa na joto…

Sudan Kusini yaamuru raia kuondoka maeneo ya Jonglei

Jeshi la Sudan Kusini limeamuru raia wote pamoja na wafanyakazi wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa na wahudumu wote wa mashirika ya msaada kuondoka katika kaunti tatu za Jimbo la Jonglei, kabla ya operesheni ya kijeshi. Jeshi la Sudan Kusini…

Obama, Clinton wakemea mauaji ya raia wa Marekani

Marais wa zamani wa Marekani Barack Obama na Bill Clinton, wametoa wito kwa Wamarekani kusimama na kutetea maadili ya nchi yao baada ya mauaji ya pili ya raia mjini Minneapolis. Marais wa zamani wa Marekani Barack Obama na Bill Clinton,…

Urusi: Mazungumzo na Ukraine huko UAE yalikuwa chanya

Ikulu ya Urusi Kremlin, imesema hii leo kwamba mazungumzo ya pande tatu yaliyoratibiwa na Marekani huko Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kati ya wajumbe wa Urusi na Ukraine yalifanyika kwa mtazamo wa kujenga. hIkulu ya Urusi Kremlin, imesema hii…

Dhahabu yapanda thamani kutokana na mivutano ya kisiasa na kiuchumi

BEI ya dhahabu imepanda kwa zaidi ya dola za kimarekani 5,000 (£3,659) kwa gramu 28.35 kwa mara ya kwanza, ni ongezeko la thamani kwa zaidi ya asilimia 60 mwaka 2025. Hii inakuja huku mvutano kati ya Marekani na NATO kuhusu…

Mafuriko yauwa watu 61 nchini Afghanistan

Theluji na mvua kubwa ambayo imenyesha kwa muda wa siku tatu zilizopita nchini Afghanistan, zimesababisha vifo vya zaidi ya watu 60 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 100 kote nchini humo. Msemaji wa Mamlaka ya Kitaifa ya Kukabiliana na Maafa Yousaf…