Category: Kimataifa
Umoja wa Mataifa wataka mkataba wa amani Gaza uwe wa kudumu
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeyataka makubaliano ya kusitisha vita Gaza yawe ya kudumu. Baraza hilo vile vile limeikosoa hatua ya Israel ya kutanua udhibiti wake katika Ukingo wa Magharibi kama kitisho kwa juhudi za kupatikana kwa suluhisho…
Iran yatangaza kuufunga mlango Bahari wa Hormuz
Iran imetangaza Jumanne kufungwa kwa muda kwa Mlango Bahari wa Hormuz, kwa ajili ya kuendeleza luteka ya kijeshi yenye nia ya kuonyesha uwezo wa Jamhuri hiyo ya Kiislamu. Hatua hiyo imechukuliwa huku wapatanishi wa Tehran wakiwa wamekamilisha mazungumzo yasiyo ya…
Zelenskiy : Trump ananishinikiza kupita kiasi
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Rais wa Marekani Donald Trump alikuwa akimshinikiza vikali katika kujaribu kupata suluhu ya vita vya karibu miaka minne akisema ni jukumu la Kyiv kuhakikisha mazungumzo hayo yanafanikiwa. Zelensky, katika mahojiano na tovuti ya Marekani…
Zelensky: Urusi inajiandaa kufanya mashambulizi Zaidi
Taarifa zilizotolewa na idara ya ujasusi ya Ukraine zinaonyesha kuwa Urusi inajiandaa kufanya mashambulizi zaidi na kuilenga miundombinu ya nishati. Hayo yameelezwa na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky na kuongeza kuwa mashambulizi yoyote yatafanya iwe vigumu kufikia makubaliano ya kukomesha…
UN yataka Urusi kutoshambulia miundombinu ya nishati Ukraine
Umoja wa Mataifa umeitolea wito Urusi kuacha kushambulia miundombinu ya nishati ya Ukraine, ambayo yamesababisha kukatika kwa umeme katikati ya kipindi cha baridi kali. Mkuu wa Shirika la Haki za Binaadamu la umoja huo Volker Turk amesema mashambulizi yasiyokoma yanayofanywa…
Trump: Iran itakuwa ‘chungu sana’ ikiwa hakuna makubaliano
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani na Iran lazima zifikie makubaliano na anaamini kuwa makubaliano hayo yanawezekana ndani ya mwezi ujao. Rais wa Marekani alisema iwapo hakutakuwa na makubaliano, ataingia katika awamu ya pili, jambo ambalo litakuwa chungu sana…





