Category: Kimataifa
Mugabe aagwa, azikwa
Muasisi wa taifa la Zimbabwe, Robert Mugabe, alizikwa Jumapili iliyopita katika makaburi ya kitaifa mjini Harare. Wafuasi wa Mugabe walipanga foleni kutoa heshima za mwisho siku ya Alhamisi katika Uwanja wa Rufaro mjini Harare. Mke wa Mugabe, Grace, pamoja na…
Marekani yampiga marufuku Jenerali Kayihura
Serikali ya Marekani imempiga marufuku aliyekuwa Inspekta Jenerali wa Polisi Uganda, Jenerali Kale Kayihura, pamoja na familia yake kuingia Marekani. Marekani ilisema ina taarifa za kuaminika kwamba Kayihura, ambaye alikuwa mkuu wa Polisi wa Uganda kati ya mwaka 2005 na…
BURIANI ROBERT GABRIEL MUGABE
Mzalendo aliyesalitiwa na jumuiya ya kimataifa Tanzia kuhusu kifo cha mwanamapinduzi nguli wa Afrika, mpigania uhuru wa Zimbabwe na mwana wa Afrika, Robert Gabriel Mugabe, zilianza kusambaa Ijumaa ya Septemba 6, 2019. Salamu za rambirambi zilianza kumiminika kutoka kila kona…
Mama mkwe wa Naomi alonga
Ni jioni ya saa 11 Jumatatu Agosti 5, 2019. Nipo ofisini. Mara napata simu, namba siifahamu. Mtu huyu ananiambia anataka kuiongezea nyama habari tunayochapisha kuhusiana na mauaji ya Naomi Marijani (36), anayedaiwa kuuawa na mumewe, Hamis (Meshack) Said Luwongo (38)….
Malaria tishio Ukerewe
Maambukizi ya ugonjwa wa malaria katika Mkoa wa Mwanza yanazidi kuiweka jamii ya mkoa huo hatarini. Kwa sasa Mkoa wa Mwanza una kiwango cha asilimia nane ya maambukizi ya ugonjwa huo ikiwa ni juu ya kile cha taifa ambacho ni…
Migahawa ya kimataifa yapenya China kibiashara
Katikati ya mivutano ya kibiashara kati ya China na Marekani, mgahawa wenye mtandao mkubwa nchini Marekani umeanza kujipenyeza China kibiashara. Hali hiyo inajitokeza katika wakati ambao hivi karibuni Marekani na China zimeonyesha kutunishiana misulu baada ya Rais Donald Trump wa…