Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023. Rais Samia alizindua Mradi huo kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023. Rais Samia alizindua Mradi huo kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia video fupi kuhusu matumizi ya Nishati ya kupikia kabla ya kuzindua Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023. Rais Samia alizindua Mradi huo kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi wakati Viongozi mbalimbali walipokuwa wakichangia umuhimu wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023. Rais Samia alizindua Mradi huo kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28).
Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023. Rais Samia alizindua Mradi huo kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28).
Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa akiwa kwenye uzinduzi wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023. Rais Samia Suluhu Hassan alizindua Mradi huo kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi pamoja na Viongozi wengine mara baada ya kuzindua Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika Mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya kumbukumbu na Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina mara baada ya kuzindua Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika Mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.
Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa kutoka Norway Mhe. Anne Beathe Tvnnereim akizungumza kuhusu umuhimu wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika Mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye uzinduzi wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika Mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania mbalimbali wakati alipotembelea Banda la Maonesho la Tanzania lililopo Dubai kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoka kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mkutano wa G77 kando ya mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris wakati wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai, katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah el-Sisi kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai, katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Vijana wanaojishughulisha na masuala ya Mazingira nchini wakati alipotembelea Banda la Maonesho la Tanzania lililopo kwenye viwanja vya Expo Dubai wakati wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023. Rais Samia alizindua Mradi huo kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu wa Barbados Mhe. Mia Mottley mara baada ya kutoka kwenye Mkutano wa G77 kando ya mkutano Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.

By Jamhuri