Category: Kimataifa
Kwa nini mazishi ya Malkia Elizabeth II ni mazishi ya karne
Mabilioni ya watu duniani wanatarajia kufuatilia maziko ya Malkia Elizaberth II le huku kukiwa na wageni 2000,viongozi 500 wa kigeni na wahudumu 4,000. Mazishi ya kitaifa ya Malkia Elizabeth II litakuwa tukio kubwa zaidi na la kipekee katika Karne ya…
Tanzania, Congo zasaini makubaliano kuboresha sekta ya ulinzi
Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrsai ya Kongo(DR CONGO) zimetiliana saini ya makubaliano katika ushirikiano wa kuboresha sekta ya ulinzi ikiwa ni sehemu ya kuendeleza mahusiano mema yaliyopo baina ya Mataifa hayo. Akizungumza jana baada ya zoezi la kusaini hati ya…
Ruto tayari ni Rais wa Awamu ya Tano Kenya
Dkt.William Ruto ameapishwa kuwa Rais wa awamu ya tano wa Kenya leo Jumanne Septemba 13,2022 katika uwanja wa Karasani jijini Nairobi. Ruto ameapishwa na Jaji Mkuu Martha Koome kuchukua nafasi ya Uhuru Kenyatta,ambaye amemaliza muda wake wa utawala wa miaka…