JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Johnson Sakaja ndiye Gavana mpya wa Nairobi

John Sakaja ameibuka mshindi wa wadhfa wa ugavana wa mji mkuu wa Kenya Nairobi. Bwana Sakaja alimshinda mwenzake wa chama cha Jubilee kutoka Muungano wa Azimio Polycarp Igathe baada ya kujipatia kura 699,392. Bwana Igathe alijipatia kura 573, 516. Edwin…

Serikali yajiandaa kukabidhi madaraka Kenya

Serikali inayoondoka madarakani imeanza maandalizi ya kuikabidhi madaraka serikali ijayo,huku Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC) ikiendelea na mchakato wa kujumlisha kura . Joseph Kinyua,Mkuu wa huduma za umma amesema wakati wa mkutano wa kamati inayosimamia makabidhiano ya…

Kauli ya ‘Rais Ganja’ yazua gumzo

Mombasa Na Dukule Injeni Hakuna ubishi, urais Kenya ni mbio za farasi wawili licha ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kupitisha majina manne ya wanaosaka kumrithi Rais Uhuru Kenyatta kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Agosti 9, mwaka huu. Naibu…

Manung’uniko kambi ya Ruto Mlima Kenya

Mombasa Na Dukule Injeni Eneo ambalo wagombea wawili wakuu miongoni mwa wanne waliopitishwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu nchini Kenya utakaofanyika Agosti 9, mwaka huu wanahitaji zaidi kura ni Mlima Kenya. Wapiga…

Yahya Jammeh: Dikteta wa Gambia aliyepora mabilioni

Na Nizar K Visram Mahakama ya Marekani imeamuru kuwa jengo lenye thamani ya dola milioni 3.5  lililo karibu na Washington lichukuliwe kutoka kwa Yahya Jammeh, aliyekuwa Rais wa Gambia. Uamuzi huu wa Mei 24, mwaka huu ni baada ya kudhihirika…

Ahadi za Ruto, Raila zinatekelezeka?

Mombasa Na Dukule Injeni Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC) imepitisha wagombea wanne miongoni mwa zaidi ya 50 walioomba kuwania urais kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Agosti 9, mwaka huu; ila ni wawili tu ndio wanapewa nafasi kubwa kumrithi…