Majaliwa amwakilisha Rais Samia Japan

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Jumamosi, Septemba 24, 2022) kwenda Tokyo, Japan ambako atamwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi ya  kitaifa ya Waziri Mkuu mstaafu nchi hiyo, Bw. Shinzo Abe. Pichani  Waziri Mkuu,  akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Uhirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk kabla ya kuondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Mkoani Dar es salaam. Kushoto ni mkewe mary na wapili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kheri James. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Jumamosi, Septemba 24, 2022) kwenda Tokyo, Japan ambako atamwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi  ya kitaifa ya Waziri Mkuu mstaafu nchi hiyo, Bw. Shinzo Abe. Pichani  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Uhirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk kabla ya kuondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Mkoani Dar es salaam