JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Ruto ndiye Rais mteule Kenya,Mahakama yatupilia mbali pingamizi la Odinga

Mahakama ya Juu imeona kwamba walalamishi hawakutoa ushahidi wa kutosha kubatilisha matokeo kwa msingi kwamba kiwango cha kikatiba cha asilimia 50 + 1 cha ushindi wa moja kwa moja hakikufikiwa. Mahakama ya Juu imegundua kwamba walalamishi hawakuwasilisha kesi yenye uzito…

Makamba ateta na mabalozi nchini Uingereza

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Waziri wa Nishati January Makamba amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi wa nchi za Uingereza na Singapore kwa nyakati tofauti kuhusu ushirikiano baina ya nchi hizo na Tanzania kwenye maeneo mbalimbali ya sekta ya nishati. Mazungumzo hayo…

Balozi Mulamula akutana na mkurugenzi Mkazi wa Shirika la IOM

Na Mwandishi Maalum,JamhuriMedia,Dar Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana na kuzungumza na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Uhamaji (IOM) Bw. Maurizio Busatti ambaye amejitambulisha rasmi kwa Mhe. Waziri…

Urusi yalipiza kisasi kwa kuua wanajeshi wa Ukraine

Ukraine imedai kushambulia na kuharibu madaraja na maghala ya silaha pamoja na kuviharibu kabisa vituo vya kuongoza shughuli za kijeshi katika eneo lililokuwa likidhibitiwa na Urusi la Kusini mwa Ukraine. Urusi nayo imesema imelipiza shambulizi hilo la kuuwa wanajeshi kadhaa….