Mahakama ya Juu imeona kwamba walalamishi hawakutoa ushahidi wa kutosha kubatilisha matokeo kwa msingi kwamba kiwango cha kikatiba cha asilimia 50 + 1 cha ushindi wa moja kwa moja hakikufikiwa.

Mahakama ya Juu imegundua kwamba walalamishi hawakuwasilisha kesi yenye uzito na kufikia uwezo wa kubatilisha matokeo kwa msingi kwamba kiwango cha katiba cha mgombea kupata kura asilimia 50 na kura moja (1) ili kuibuka na ushindi wa moja kwa moja hakikufikiwa.

Mahakama ya Juu imesema kuwa William Ruto alipata zaidi ya 50% pamoja na kura moja ya kura zote zilizopigwa.