Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
September 1, 2022
Kimataifa
Rais Mwinyi azungumza na uongozi Taasisi ya kidemokrasia inayoshughulikia masuala ya kimataifa
Jamhuri
Comments Off
on Rais Mwinyi azungumza na uongozi Taasisi ya kidemokrasia inayoshughulikia masuala ya kimataifa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Kidemokrasia Inayoshughulikia Masuala ya Kimataifa (NDI) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi Nchini Tanzania Bi. Sandy Quimbaya (kulia kwa Rais) ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 1-9-2022 katika ukumbi wa Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Sisi ni Wamoja, Mtazamo wa Wananchi Kuhusu Serikali ya Umoja wa Kitaifa, utafiti uliofanywa na Jumuiya ya Wanawake Wenye Ulemavu Zanzibar, akikabidhiwa na Ndg.Rashid Azizi Rashid (kulia kwake) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Wenye Ulemavu Zanzibar (JUWAUZA) Bi. Salma Haji Saadat, baada ya kumaliza mazungumzo na Uongozi wa Taasisi ya Kidemokrasia Inayoshughulikia Masuala ya Kimataifa (NDI) yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya Kidemokrasia Inayoshughulikia Masuala ya Kimataifa (NDI) Bi. Sandy Quimbaya, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 1-9-2022.(Picha na Ikulu)
Post Views:
142
Previous Post
Kunenge:Tushirikiane kusaidia wenye mahitaji ya viungo bandia
Next Post
Balozi Fatma: Fanyeni kazi kwa bidii na ushirikiano
Rais Samia azungumza na Balozi wa Japan hapa nchini
Rais Samia akutana na Afisa Mtendaji Mkuu NMB
Rais Samia aipongeza Zanzibar Heroes
Mwanamuziki wa injili Rehema Simfukwe atoboa siri sababu kutunga wimbo wa Chanzo
Watoto mapacha wamuua mama yao mzazi
Habari mpya
Rais Samia azungumza na Balozi wa Japan hapa nchini
Rais Samia akutana na Afisa Mtendaji Mkuu NMB
Rais Samia aipongeza Zanzibar Heroes
Mwanamuziki wa injili Rehema Simfukwe atoboa siri sababu kutunga wimbo wa Chanzo
Watoto mapacha wamuua mama yao mzazi
Waliokaidi ukaguzi magari ya shule wakamatwa Arusha
Bilioni 5 kujenga soko la kimataifa Missenyi
Baba atuhumiwa kuua watoto wawili
Wazima moto wapambana kuzuia moto mkubwa Los Angeles
-Tanzania ipo tayari kupokea wakuu wa nchi Afrika katika mkutano wa Nishati wa Mision 300′
Matumizi ya Baruti yaongezeka nchini
Wananchi wampongeza Rais Samia kufikisha umeme vituo vya afya vijijini
Simba yazidi kuchanja mbuga
Balozi Nchimbi amjulia hali Mzee Mangula
Maria Sarungi atekwa Nairobi