JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Trump kukutana na Putin na Zelensky

Rais wa Marekani Donald Trump amesema yuko tayari kukutana na marais wa Ukraine na Urusi nchini Uturuki baada ya pande hizo mbili kushindwa kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano. Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan alipendekeza kuwa Rais wa Urusi Vladimir…

Lee Jae-myung achaguliwa kuwa rais mpya Korea Kusini

Mgombea wa kiliberali nchini Korea Kusini, Lee Jae-myung, ameshinda uchaguzi wa urais nchini humo dhidi ya mpinzani wake wa kihafidhina Kim Moon Soo. Mgombea wa kiliberali nchini Korea Kusini,  Lee Jae – myung ameshinda uchaguzi wa urais nchini humo dhidi ya…

Raia wa China watuhumiwa kuingiza kimagendo ‘kiini hatari’ nchini Marekani

Raia wawili wa China wanatuhumiwa kuingiza nchini Marekani kuvu ambayo maafisa wanasema ni “kiini hatari cha kibaolojia”. Yunqing Jian, 33, na Zunyong Liu, 34, wameshtakiwa kwa kula njama, kusafirisha bidhaa, kutoa taarifa za uongo na ulaghai wa viza, Ofisi ya…

Raia wa Korea Kusini wamchagua rais mpya

Mamilioni ya raia wa Korea Kusini wanapiga kura hii leo kumchagua rais mpya katika uchaguzi wa mapema baada ya Rais Yoon Suk Yeol kuondolewa madarakani. Kura zote za maoni zimemuweka mbele mgombea wa kiliberali, Lee Jae-myung, huku utafiti wa karibuni…

Bill Gates atangaza kuipatia Afrika Dola bilioni 200

Bilionea wa Marekani Bill Gates ametangaza leo Jumanne kwamba kiasi kikubwa cha mapato ya Wakfu wa Gates ya dola bilioni 200 kitatumika barani Afrika katika kipindi cha miongo miwili ijayo. Gates, ambaye Mei 8 alisema kuwa ataufunga wakfu huo ifikapo…

Guterres: Shambulizi dhidi ya wapalestina lichunguzwe

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa uchunguzi huru wa vifo vya Wapalestina zaidi ya 30 vilivyotokea karibu na kituo cha kugawa misaada kinachoratibiwa kwa ushirikiano Marekani huko Gaza. Wapalestina zaidi ya 30 waliuawa karibu na…