Category: Kimataifa
Mzozo wa Ukraine; Viongozi wa Ulaya wafanya ziara Marekani
Viongozi mbalimbali wa Ulaya wamefanya ziara nchini Marekani wiki hii ili kujaribu kuutafutia suluhu mzozo kati ya Urusi na Ukraine ambazo zimeendelea kushambuliana vikali. Baada ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, jana ilikuwa zamu ya Waziri Mkuu wa Uingereza Keir…
WHO : Mpox ni tishio duniani
Kamati ya wataalamu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) inayosimamia dharura za afya kimataifa imeamua kwamba ugonjwa wa Mpox bado ni dharura ya afya ya umma inayotia wasiwasi duniani. Uamuzi huu ulifikiwa katika mkutano wa tatu wa Kamati ya Kanuni…
Trump aifutia kibali cha mafuta Venezuela
Kibali kilichoiruhusu kampuni kubwa ya mafuta ya Chevron Corp. kusafirisha mafuta ya Venezuela nchini Marekani kitasimamishwa wiki hii, hatua inayoukata uwezo wa kifedha wa taifa hilo la Amerika Kusini. Akitangaza uamuzi huo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social…
Mwendesha Mashtaka wa ICC awasili DRC kwa uchunguzi wa uhalifu wa kivita
Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan, amewasili katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kwa lengo la kuimarisha juhudi za kuchunguza uhalifu unaoripotiwa kufanyika katika maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo. Ziara yake inafanyika wakati…
Wanaharakati Kenya waandamana kupinga kesi dhidi ya Besigye
Mashirika ya kiraia nchini Kenya na mengine ya kimataifa yamefanya maandamano ya amani hii leo ya kupinga kushikiliwa kwa wafungwa kinyume cha sheria na utekaji nyara wa kiongozi wa upinzani wa Uganda, Kizza Besigye. Mashirika ya kiraia nchini Kenya na…
Ugonjwa usiojulikana waua zaidi ya watu 50 nchini Kongo
Kwa mujibu wa madaktari waliopo katika eneo hilo na shirika la afya duniani WHO, zaidi ya watu 50 wamefariki kaskazini magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na ugonjwa usiojulikana. Mkurugenzi wa hospitali ya Bikoro, kituo cha ufuatiliaji wa…